 |
| Wanasema huyu mzungu ana cheo kikubwa kwenye chama. Kuhusu Diamond mmh! Hatujui kwanini wamepia picha pamoja! |
Jana kama ulisikiliza kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM bila shaka ulisikiliza watu waliojiunga na chama (fraternity) cha Freemasonry wakieleza issue nzima.
Si kitu kigeni tena kwenye masikio ya watanzania. Infact ni mada maarufu sana sasa hivi. Baada ya kipindi hicho cha jana, mtandao wa twitter ulikuwa busy mno kwa mjadala wa utani kuhusu dhana hiyo.
Kwakuwa suala hilo lipo na watu zaidi ya milioni sita duniani wameshajiunga hebu angalia hizi picha za watu wanaoonesha alama za Freemasons ili usije ukakaa hivyo siku moja na ukashangaaa unaambiwa ‘we freemason nini’!
Ndio wabongo si unawajua wakishupalia kitu! Usishangae ukiweka vocha ya elfu kumi kwenye simu yako watu wakakuambia umeshajiunga kwenye chama, funny huh! Yeah it’s funny and ridiculous!
 |
| George Bush |
|
|
 |
| Jigga mwenyewe! |
 |
| Jay-Z na Danzel Washington |
 |
| Papa Benedict |
 |
| Barack Obama |
Okay wakati unaziangalia picha hizi, hebu angalia uwekaji wa mikono hiyo na ujiulize kama hakuna style ambayo hujawahi kujikuta umeitumia bila kujua.
 |
| Lady Gaga |
No comments:
Post a Comment