Friday, June 29, 2012

Quality ya video hii haina haja ya kwenda South


Raqey Mohamed aliyedirect video yaTazneem

Kwenye page ya Facebook ya mpiga picha maarufu sana nchini Tanzania Raqey Mohamed ameweka video ya msanii mpya mwenye asili ya kihindi aitwaye Tazneem.

Tuliamua kuifuata link ya video hii baada ya kuona kuwa director ni yeye. Tulitaka kujua upande wa video za muziki yukoje. Ama kweli tumestaabu na uwezo mkubwa alionao huyu jamaa. He is good.

Kwa video za aina hii hakuna haja ya wasanii kwenda nje kufanya video  zenye hadhi ya kimataifa ili zipigwe kwenye station kubwa kama Channle O ama MTV Base. Congrats Raqey. Tegemea foleni ya wasanii watakaotaka video zako.


ARTIST: TAZNEEM
SONG: KWASA KWASA
PRODUCED BY TUDD THOMAS
DIRECTED BY RAQEY MOHAMED
VIDEOGRAPHY: I-VIEW STUDIOS
WARDROBE: ALLY REHMTULLAH

No comments:

Post a Comment