Thursday, June 21, 2012

Hutaamini: Ona jinsi dogo aliyeigiza Home Alone alivyo sasa




Unamkumbuka yule dogo Kelvin wa kwenye Home Alone? Ni wachache sana ambao enzi za utoto wao hawakuwahi kuona ama kusikia movie hii. Kevin alikuwa mtoto mmoja mwenye sura nzuri na kila mtoto miaka hiyo alimpenda. 

Lakini kadri alivyokuwa anazidi kukua sura yake Kevin ambaye jina lake halisi ni Macaulay Carson Culkin, 1980 imezidi kubadilika kutoka kwenye ule uzuri wa kitoto na kuanza kuonekana tofauti sana kama teja hivi.


ALIVYOKUWA MWANZO


ALIVYO SASA

 
 What happened to this kid!!

No comments:

Post a Comment