Friday, June 22, 2012

Lebron, Wade na Chris Bosh wa Heat washerehekea ushindi kwa kurap!



Dwyane Wade, Lebron James na Chris Bosh wameshereheka ushindi wao wa leo wa ligi ya NBA kwa style kwenye nightclub kwa kuchukua mic na kuanza kurap wimbo wa 2 Chainz.

Wakiwa na wawapendao ilikuwa ni furaha tu huku kundi la LMFAO.

Angalia picha na video hiyo.

Salute!!
Sogea nikuchumu! mwaaa!
Raha kusherehekea ushindi na umpendaye
Poppin Bottles


 Hongera kwa mashabiki wa Miami Heat.

No comments:

Post a Comment