Friday, June 29, 2012

Adele Mjamzito, anatarajia kupata mtoto na Simon Konecki!



Huenda nyimbo za Adele zikaendelea kuwa za furaha zaidi kwakuwa ni sasa mjamzito.

Wakati ambapo leo (June 29) Tom Cruise na Katie Holmes wamesema watapeana taraka, Adele ana habari njema zaidi kwa mashabiki wake.

"Ninayo furaha kutangaza kuwa Simon na mimi tunategemea mtoto wetu wa kwanza,” aliandika kwenye website yake. "Nataka mzisikie habari hizo moja kwa moja kutoka kwangu.”

No comments:

Post a Comment