Monday, June 25, 2012

Justin Bieber: Nawazimia wanawake wenye umri mkubwa



Justin Bieber alifikisha miaka 18 tarehe March 1 mwaka huu na ameanza kufanya mabadiiko kadhaa kuelekea ukubwani. Amepiga story na Angie Martinez wa Hot 97.

Katika interview hivyo Bieber amezungumza kuwa kwa sasa muziki wake umebadilika kutoka na umri wake na amepanua zaidi wigo wa mashabiki kutoka kwa wasichana wenye umri mdogo kama alivyo yeye mpaka kwa wanaume watu wazima na wanawake wakubwa.

Na amesema ndio anapenda wanawake wakubwa. Mwangalie hapo.

No comments:

Post a Comment