Tuesday, June 19, 2012

Mtoto wa Habida hanywi chai mpaka awekewe ‘KESHO’



Ukiwa mzazi kuna mambo mengi sana ya kuchekesha utakayoyashuhudia kutoka kwa mwanao. Ni jambo la kawaida kumdanganya mtoto kumfanyia kitu fulani  ili ale chakula.

Mwanadada Habida na binti yake wana drama ya aina yake.

Mtoto wake wa kike hataki kunywa chai mpaka mama yake amwekee wimbo wake alioimba mwenyewe uitwao kesho.

“So this morning (June 20) for my daughter to eat her breakfast, the deal is i had to play KESHO for her lol! she already has good taste in music.”


Wow! mtoto anajua ngoma kali tayari!

No comments:

Post a Comment