Friday, June 29, 2012

Choice FM kesho kupiga show live kutoka Mlimani City




Let’s be honest, ukiwa mgeni na umekuja Dar halafu kama bahati tu kwenye radio yako ukatua kwenye masafa ya 102.6 unaweza ukadhani kuna radio ya Marekani ama Uingereza imeingilia masafa hayo kwa bahati mbaya. 

Lakini kumbe ni radio inayotangaza kutoka Tanzania. Believe it or not, like it or not, Choice is the number 1 English station in Tanzania. 

Wakiwa na watangazaji macelebrity kama Barbie Kabae, ML Chris, Abby Plaatjes, Thandi Kathembe, Vanessa Mdee, Evance Bukuku na wengine, these guys are undisputed.

So kesho pande za Mlimani City watakuwa Live, “Choice FM hits the streets.. This Saturday, at Mlimani City from 1pm... #Dopeness,” wameandika kwenye page yao ya Facebook.

Na kwa wapenzi wa muziki wa nje na selection za hatari, Choice Fm is the right station for you.

No comments:

Post a Comment