Friday, June 22, 2012

Download wimbo wa Ay ft. Marco Chali ‘Party Zone’



Baada ya video kutoka na kupokelewa vizuri nyumbani na nje ya nchi, hatimaye AY ameachia audio ya wimbo wake, party zone. 

Kwa jinsi ulivyo tunaamini muda si mrefu wimbo huu utakuwa club anthem. Na ni wimbo mzuri kumdediketia mtu aliyeuvunja moyo wako.

Enjoy.


No comments:

Post a Comment