Thursday, June 21, 2012

First listen: Bad As I wanna Be ya STL



Wiki kama moja tu hivi imesalia kabla ya mwanadada  Stella Mwangi aka STL hajatoa ngoma yake mpya iitwayo Bad As I wanna Be. Leotainment imepata kipande tu cha wimbo huo (Snippet). Sikiliza STL alivyochana. Huyu demu ni mkali.

No comments:

Post a Comment