Friday, June 29, 2012

Quincy: Mtoto wa kambo wa Diddy anayekuja vizuri kwa R&B





Pamoja na kuwa na watoto watano, Diddy pia ni baba wa kambo wa Quincy Jones Brown (December 1991), mtoto wa kiume wa mpenzi wake wanaechana na kurudiana mara kwa mara Kimberly Porter aliyezaa na muimbaji wa New Jack Swing Al B Sure.

Quincy anakuja vizuri sana kwenye muziki wa R&B nchini Marekani. Ana wimbo wake uitwao Stay a While unaofanya vizuri kwa sasa.

Chek video ya behind the scenes wakati akishoot video ya wimbo huo.






No comments:

Post a Comment