Wednesday, June 20, 2012

Picha/Video: Damn! Hawa mabodyguard wa Drake hatujawi kuona



Akizungukwa na mabodyguard mabaunsa na wenye sura za kikauzu hujawahi kuona, usije ukajaribu kamwe kumzingua Drake, utaishia pabaya.

Hawa jamaa wamejazia aisee! Ukiwaangalia wanaonekana kama huwa hawacheki hawa!

Drake ameonekana nao Washington DC wakati anafanya shopping wao wakiwa wamevaa t-shirt ndogo zilizowabana utadhani zinataka kupasuka kwa misuli yao minene.


Hata hivyo mapaparazi hawakutishwa na nyama hizo kwani hata kwenye sambuza zimo ambapo mmoja alimfuata kumuuliza kuhusu image yake kufuatia ugomvi kati yake na Chris Brown kwenye klabu ya usiku ya W.i.P. ya NYC na Drake kujibu,  "My image [is] good, man."

No comments:

Post a Comment