Wednesday, June 27, 2012

Mfahamu mtangazaji wa kipindi cha Tam Tam za mwambao cha EA Radio


Toto la Mashtiti katika pozi

Miaka kama mitatu hivi Taarab imerudi kwa kasi kwenye vituo  vya radio vya nchini Tanzania. Pamoja na kuwepo na vipindi vya kila wiki ambavyo mara nyingi huwa vipo weekend, sasa hivi taarab imeingia kwenye ‘playlist’ ya kila siku ya radio kibao.

Mida ya saa sita hivi ukiaanza kutafuta frequency unaweza kukuta radio zaidi ya tano zikipiga taarab. Radio One na Times FM wao waliamua kwenda mbali kidogo. Taarab inapigwa saa nane mwanangu!Wakati huo radio zingine zikiendelea na vipindi ‘pendwa’ vinavyopiga Bongo Flava, Hip Hop na R&B.

East Africa Radio nao wameona isiwe tabu! Wameanzisha show yao ya Taarab iitwayo ‘Tam Tam za Mwambao kila jumapili kuanzia saa 4 asubuhi.

Mtangazaji anaitwa Mwanne aka ‘Toto la Matashtiti’!

No comments:

Post a Comment