Wednesday, May 2, 2012

New music video: Starships by Nicki Minaj

Pamoja na kuzagaa kwa picha zake za utupu kwenye mtandao, Mlimbwende maarufu duniani Amber Rose amesema hastahili kutoheshimiwa na kuitwa Malaya.

Mrembo huyo mwenye miaka 29 alipewa jina la  "goldigger" alipokuwa na uhusiano na Kanye West na kuitwa majina mengine mabaya zaidi baada ya picha zake za utupu kuleak mtandaoni.


Hata hivyo, Amber amesema asihukumiwe kwa mambo ya zamani ama jinsi anavyovyaa na anataka watu wamchukilie kwa mtazamo mpya.

"If I want to wear a short skirt I can, and I expect to not be disrespected because I want to feel and dress hot and not be called a whore," aliuambia mtandao wa LifeStyleMirror.com.


"Every woman has the right to dress as she pleases and not be judged by her wardrobe choices, and I support all women doing their thing, whether in high heels and a mini skirt or sweats and sneakers."

Mtu pekee anayemkubali Amber kwa namna alivyo ni Wiz Khalifa, ambaye alimchumbia mapema mwaka huu.

No comments:

Post a Comment