Saturday, May 19, 2012

Chelsea vs Bayern Munich na tweets za macelebrity



Inapokuja mechi ya ligi ya mabingwa wa Ulaya, hakuna topic nyingine zaidi ya hiyo itakayokuwa ikijadiliwa kwenye mitandao ya kijamii. Wasanii, wanasiasa na watu wa kawaida wote walijumuika pamoja kupiga soga kimtandao wakati game likiendelea kati ya Bayern Munich na Chelsea iliyochukua kombe kwa ushindi wa matuta manne kwa matatu (4-3) huko twitter mambo yalikuwa hivi:
@HasheemTheDream
IN THIS SIDE OF THE WORLD ALL THEY TALK ABOUT IS SOCCER!!

Sauti Sol ‏@SautiSol
Didier Drogba does it again. What a class act that man is. Wicked

Zitto Zuberi Kabwe ‏@zittokabwe
Duh drogba..... Bayern wie geht?

January Makamba ‏@JMakamba
Extra time! Who would have thought!

Nonini Mgenge True! ‏@Noninimusic
Drogba is a motherfucking legend...Noma

lilian mbabazi ‏@lmbabazi (Blue 3)
Drogba #DAMN!!!

Hamis Mwinjuma ‏@MwanaFA
boring game..nadhani kosa lilikuwa kuwaacha Chelsea wafike fainali..wanaharibu mpira

lilian mbabazi ‏@lmbabazi
This is one crazy game!!!!\

KitaaOLOJIA ‏@FidQ
Chelsea anachukua hii kitu!!!!!

Shy-Rose Bhanji ‏@shyrosebhanji
Mtajutaaaa chelceeeeee twende\

Baada ya Chelsea kushinda

Hamis Mwinjuma ‏@MwanaFA
K**manina Zao Chelsea...Hahahah..Maaaan!!

Zitto Zuberi Kabwe ‏@zittokabwe
@JMakamba hongera sana. You were right

January Makamba ‏@JMakamba
@zittokabwe Aisee habari yako kaka.

Vanessa Mdee ‏@VanessaMdee
Congratulations Chelsea

Vodacom Tanzania ‏@VodacomTanzania
Didie Drogba awainua mashabiki wa Chelsea Duniani..

ROCKSTAR 4000
Well done Chelsea!

Lady JayDee ‏@JideJaydee
I wish Didier Drogber was my son, but I thank God for him being an African brother.

D'banj kokomaster ‏@iamdbanj
Pls, I'm a Man U supporter but today my support went to Chelsea

No comments:

Post a Comment