Monday, May 21, 2012

Pink amponda Chris Brown kwa kuzuga anaimba live


Mwanadada mwenye mapepe Pink amemkosoa Chris Brown kwa kile anachodai kuwadangaya watu kuimba live usiku wa jana kwenye tuzo za Billboard.

Kupitia twitter Pink aliandika “Siku nikidanganya naimba live (lipsync), naamini ntafanya vizuri kumzidi (Chris).

Hata hivyo baada ya kuandika hivyo mashabiki wa Chris Brown walimshambulia kwa mvua ya matusi mwanadada huyo hali iliyomfanya aandike tena "Mungu wangu, ni rahisi mno, ni rahisi kinoma, endeleeni kuandika, nafurahia kusoma”

No comments:

Post a Comment