Saturday, May 19, 2012

Linah na 2012 Chevy Camaro ($24,216 – $41,030)



Ukikutana na Linah Sanga akipush 2012 Chevy Camaro usishangae sana! 

Apparently mwanamuziki huyo aliyekwea fasta kwenye ngazi ya usupastaa na kujikuta kileleni mwa mafanikio amekuwa akipush ndinga hiyo ambayo thamani yake ni $24,216 – $41,030 (Tshs 38,261,280 – 64,827,400) tena kama ukiinunulia huko huko Marekani.

Ukisema unataka kuidrop Bongo gharama yake si haba!


And guess whaat! Mwanadada alikuwa anatafuta chauffeur (dereva) kumsogeza hadi East Coast kwenye mchuma huo unaofunguka roof (convertible).

Anyways kwa wakazi wa Oakland, California waliohudhuria show yake wana mengi ya kusimulia cheche za mwanamuziki huyu mwenye kipaji.

Hata kama mchuma huo sio wake, Lihah amekuwa na muda mzuri sana katika maisha yake yote kwa kipindi hiki alichopo Marekani na ni kitu ambacho atakiandika kwenye diary ya maisha yake.

No comments:

Post a Comment