Monday, May 21, 2012

Rihanna awasurprise mashabiki wa London kwenye show ya Jay-Z na Kanye



Jana usiku Rihanna aliwasurprise mashabiki kwa kujiunga na Jay-Z na Kanye West kwenye show ya tatu mfululizo mjini London.

Akiwa amevaa vest nyeusi na kumatch na suruali na kofia aliyokuwa amevaa, Rihanna aliwapa shavu nguli hao wa hip hop kuimba nyimbo mbili ambazo ni 'All Of The Lights'na 'Run This Town.'

Muimbaji huyo wa 'Where Have You Been' aliweka historia kwakuwa msanii wa kwanza kuperform na wakali hao tangu ziara yao ianze mwaka jana.

Rihanna alitweet "#RihannaNAVi made history tonight as the first person to Watch The Throne AND join it!!! No one is allowed on that stage! Thank u guys."


No comments:

Post a Comment