Thursday, May 31, 2012

P-Square kupiga show DRC June 3


Wanamuziki mapacha wa Nigeria Peter na Paul Okoye wa kundi la P-Square wanatarajia kupiga show nchini DRC June 3 mwaka huu.

Bila shaka safari yao ya kuelekea Congo wataifanya kwa ndege yao binafsi ya kukodi kwakuwa hivi karibu safari zao zimekuwa za aina hiyo.

Katika mtandao wa Twitter imeandikwa , “P Square live in DRC on June 3rd. Kinshasa get ready for the Invasion.”


Katika hatua nyingine Peter Okoye amesema hafikirii kuacha muziki licha ya mafanikio makubwa waliyoyapata.



Amesema hivyo baada ya kuulizwa na shabiki wake kufuatia ujumbe aliouandika kwenye picha  aliyopost juzi kwenye Twitter, “I moved from ambition to achievement...and I wish every1 the same...”


Na ndipo akaulizwa, “since you have moved from ambition to achievement why not retire? Na yeye akajibu Ah ah bros dem send u?


No comments:

Post a Comment