Thursday, May 31, 2012

The Queen is back!



Baada ya kukaa Marekani kwa takriban miezi mitatu, hatimaye Linah Sanga amerejea nchini.

Bila shaka amekuja na morali mpya na mashabiki wategemee mabadiliko ya mambo mengi kutoka kwa mwanadada huyu hasa kwenye video kwakuwa amekuja na swag za Marekani.

Peter Ligate CEO wa kampuni ya J&P Investiment Inc. iliyosababisha tour hiyo amesema, “Ater a successful "tamani" us tour the #1 female artist Linah is back in Tanzania. Thanks to all that supported her & continue to support our artist & bongo fleva..godspeed ma people!!”


Welcome back Linah!

No comments:

Post a Comment