Tuesday, May 22, 2012

Wizkid adaka deal ya $350,000 kutoka PEPSI



Msanii maarufu nchini Nigeria Wizkid amedaka mchongo wa kutangaza kinywaji cha Pepsi ambapo ameusaini kwa $350,000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 500.

Msanii huyo anaungana na mwanadada Tiwa Savage kama mabalozi wa kinywaji hicho nchini Nigeria.

Hivi karibuni mwanamuziki huyo atasafiri hadi Lebanon kwa ajili ya kushoot tangazo la TV la kinywaji hicho.

No comments:

Post a Comment