Thursday, May 24, 2012

P-Square ni mwendo wa private jet tu!

Private Jet ya P-Square
Kwa mujibu wa director maarufu wa video barani Afrika Mike Ogoke ‏@I_Am_Godfather, P-Square wapo nchini Afrika kusini kufanya video. Shughuli itafanyika Johannesburg na Cape Town.




Cha kufurahisha kama si cha kushangaza zaidi kwa sasa ni kwamba mapacha hayo wanaounda kundi hilo Peter na Paul Okoye ni kuhusu uwezo wao wa kukodi ndege private kwaajili ya safari zao.



Safari hiyo ilianzia Cameron, wakaenda Congo na kisha kwenda Afrika kusini.


Katika miongoni mwa picha ziliwekwa twitter na Peter ameandika “Jetting privately... Thanks to God and the FANS. U all made it possible.” Na nyingine ameandika “Baba God done settle us... I no go lie”
Ama kweli vijana mshiko wanao.


Hotelini Afrika Kusini




No comments:

Post a Comment