Saturday, May 19, 2012

Fid Q (#AskFidQ): Sina na Sitarajii kuwa na beef na Joh Makini



Jumamosi hii Fid Q amerejea tena na topic yake kwenye twitter #AskFidQ. Wiki hii maswali mapya mengi yameulizwa kwa mkali huyo wa michano ambapo alitoa dakika 40 pekee kwa ajili ya session hiyo.

Lakini kilichovutia zaidi ni swali kutoka kwa Supastaa mwenzie @DiamondPlatnum aliyemuuliza Ngosha kuwa “Msanii gani kutoka Europe ungependa kufanya nae kazi kaka? Nilipoenda kule kumbe they know Tanzanian music! Fid akajibu, “wewe”!  Jibu lake hata hivyo likawa na utata kwakuwa Diamond alitaka amtajie msanii wa Ulaya ikiwa na maana kuwa alitakiwa awataje watu kama Tinie Tempah na wengine! 

Baadaye Fid akamwambia Diamond, “wanaotoka Europe.. Hata wewe ulikua huko, lakini katika kundi la wanaoishi Europe.. Wewe haumo! Sasa naomba urudie swali kaka”! Baadaye akaamua kumjibu “ Europe ningependa kufanya kazi na Ben Harper.. Napenda sana ngoma yake moja hivi inaitwa 'I'll rise'. “ Mpaka kakuvutia anaonekana ni msanii mzuri, ngoja nimcheki." Aliandika Diamond.
Ben Harper
Maswali mengine aliyoulizwa na majibu yake ni kama ifuatavyo:

@Deol_Jeezy: Albam gani ya Hip Hop unaikubali sana hapa bongo (best of all times?
Fid: Machozi, Jasho na Damu ya yule Mzee Joseph
@biggiezfinest: Ulishawahi changanya cha Atwn,cha mbeya na cha malawi?? Hahahaa
Fid:  Bado... Vp mziki wake? Ni wa Cd 700 ? 
"@fadhil60: Vp demu wako wa kizungu bado yupo?
Fid: Mtoto wa uswazi.. Akijichubua haimaanishi ana ukimbia uafrika
@RealLuisMo: Lines kwenye ile ngoma ya Bwana Misosi uliingia nazo booth au ulizitoa pale pale. Ni kali sana
Fid: Niliingia nazo
@BijouMami: Unaoa lini?
Fid:Nikiwa mkubwa nitafanya hivyo!
@astrangger: Una miaka mingapi? At least utupe hata clue...late 20s,early 30s,ama near 40s
Fid: Nina approach my new 20's
@Gyvermeena: Unanioa lini Ooops unaona lini?
Fid: Nijibu swali la kwanza au la pili?
@Gyvermeena: Hahaha mbona hivyo jibu kama ulivyoulizwaa!
Fid: Naomba nikuoe wewe
@Gyvermeena:  hahhaha utalipa fini ya makangee shaur yako.."
Fid: Mie ni msukuma.. Kunichuna mama wala sio ishu!
@amourabdallah: Professor J au Sugu
Fid: Wote wakali!
@NicoMosha_: Albam yako ya Propaganda imeuza nakala ngapi hadi sasa?
Fid: Hazihesabiki kaka.. Ukienda kwa mdosi haupati copy
@aby_realest: Itakuwaje uchane juu ya mdundo Prakatatumba?
Fid: Nitakua sina akili!
@draft214: Hujawahi fikilia kufanya kolabo na Sugu?
Fid: Yupo kwenye album yangu ya kwanza inayoitwa 'Vina-Mwanzo,kati na mwisho
@skywizz: Kwanini ngoma zako nyingi hazina video?
Fid:  Kwasababu hazihitaji video ili kuhit!
@aby_realest: Je! wewe ni mnunuzi wa Kandamseto za nyumbani ? Ipi kali kwako?
Fid: The element ya M-Lab
@Deol_Jeezy: Msanii gani wa RnB unamkubali sana hapa bongo?
Fid: NoorElly!
@RonaldSawe: Mpaka sasa ushadate na wangapi?
Fid: Wawili tu..
@KiddSteel: Eti unabifu na Joh Makini?
Fid: Hapana.. Na wala sitarajii kuwa na beef nae!
@tom_luhanga: Ni wasanii gani wa 3 wanafanya vizuri katika Hiphop bongo sasa hivi?
Fid: 1@solothang 2 @Wakazi 3 @JoshTheRapper
@Ronetayse: Mama ako anakuitaje jina la kitani?
Fid: Mama yangu ni mkali sana, hana utani

No comments:

Post a Comment