Sunday, May 20, 2012

Rita Ora na Rihanna ni zaidi ya marafiki!




Siku Jay-Z alipomsainisha mwanadada Rita Ora kutoka Uingereza kwenye label ya Roc Nation wengi tuliamini kuwa (na ndivyo ilivyo) Jigga kafanya hivyo kumkomoa Rihanna eti kwasababu amerudisha urafiki na Chris Brown. 

Mbaya zaidi wimbo wa Rita Ora R.I.P ulioandikwa na Drake ulikuwa uimbwe na Rihanna ambaye aliukataa. Mashabiki wakajua hapo lazima Rihanna na Rita wawe maadui.

Leo (May 20) Rita ametweet “@rihanna hatin a$$ biatch!!!! Mwah!!!!!!” akiambatanisha na picha! Tukajua aaaah! Tayari kumeshaumana. Kuclick tunakutana na picha hii:
Rita akilifurahia busu la Rihanna
Bila shaka picha inaeleza yote kuwa wanadada hao ni marafiki tena kuliko kawaida! 

No comments:

Post a Comment