| KEKO |
Ikitokea rapper KEKO kutoka Uganda na Stella Mwangi aka STL kutoka Kenya wakakutana kwenye stage moja unadhani nani atampoteza mwenzie?
Wote wana swagga. Katika kuvaa mpaka kurap. Wote wanaweza kurap na kuimba pia.
Ni ukweli uliowazi kuwa unapotafuta rappers wa kike kutoka Afrika Mashariki wenye vigezo vyote vya kuitwa wasanii wa kimataifa, hawa wawili huwezi kuacha kuwataja.
![]() | ||
| STL |
Unadhani nani mkali zaidi ya mwenzie hasa katika Hip hop!



No comments:
Post a Comment