Monday, June 11, 2012

Video: Show ya Stanboi na Sean Paul


Ilikuwa ni ndoto iliyogeuka kuwa kweli kwa msanii wa Tanzania aishie Marekani StanBoi kupanda jukwaa moja na Sean Paul.

Show ilifanyika huko Wichita, Kansas

Jione Stanboi alivyokamua.

No comments:

Post a Comment