Maandalizi ya toleo la 6 la mfuliliizo wa filamu ya The Fast and the Furious yameanza rasmi.
Leo Dwayne Johnson aka The Rock ambaye anaigiza kama polisi kwenye filamu hiyo amepost picha akiwa mazoezini na kuandika;
‘Training for FAST 6 officially starts today..
You can run, but you can never hide.. Ever.
Be sure to give your soul to Jesus, cause your ass is mine.’


No comments:
Post a Comment