Pamoja na kuwa busy na show za ziara yao ya ‘Watch the Throne’ barani Ulaya, Jay-Z amechukua muda jijini Paris kumbeba binti yake Blue Ivy.
Wakiwa na ulinzi mkali rapper huyo mkongwe aliamua kumsaidia mkewe Beyonce kumbeba binti yao huku Beyonce akiwa nyuma yao kushuhudia ‘baba na mwana’ wanavyopendana.Wow!
Kwa picha hizo tunapata uhakika kuwa Hov huenda akawa baba mzuri na wazo lake la kupumzika muziki kidogo litamfanya Blue afurahie kubebwa na baba yake zaidi.
By the way next time Beyonce inabidi akumbuke kumvalisha mtoto soksi! And Jay-Z don't worry bro! kubeba mtoto wa miezi minne si kazi rahisi kwa mwanaume! We can see how hard you are struggling!
No comments:
Post a Comment