Nadya Suleiman ameanza kushoot filamu yake ya ngono itakayokuwa self-serving porn!
Mtandao wa TMZ umesema Nadya amemaliza siku ya kwanza ya kushoot vipande vya picha hiyo ya XXX katika jengo jingo maalum kwa kuigizia filamu za ngono huko San Fernando Valley juzi.
Imedaiwa kuwa mama huyo wa watoto 14 alionekana kuwa na wasiwasi alipofika kuanza kazi lakini alipozungumza na wacheza ngono wazoefu waliokuwepo ndani ya jumba hilo,alitulia kidogo.
Kabla ya kuanza kushoot, producer walimwekea baadhi ya picha za aina hiyo ili ziwe kama shule kwanza kabla mambo rasmi hayajaanza.
Na kazi yenyewe ilipoanza, Nadya ambaye ‘alijichezea’ mwenyewe alionekana kumudu vyema.
Wiki ijayo Nadya atashoot kipande kingine cha movie hiyo ya wakubwa.
Nadya aliyejifungua watoto wanane mapacha mwaka 2009 ameamua kushiriki katika video hiyo kutokana na maisha kuwa magumu na madeni yanayofikia £600,000.
Kabla ya kupata watoto wanane kwa mpigo mwanamke huyo mwenye miaka 36, alikuwa tayari na watoto sita na sasa yupo hatarini kukosa mahala pa kuishi.
No comments:
Post a Comment