Saturday, June 9, 2012

Producer wa ‘Niggas in Paris’ Hit-Boy aonesha uwezo wake wa kurap


Producer wa wimbo maarufu wa Jay-Z na Kanye West – Niggas in Paris, Hit-Boy ameamua kuonesha kuwa yeye si producer mkali tu bali ni bonge la rapper pia kwa kuachia ngoma iitwayo, "Jay-Z Interview".

 "Nilikuwa na jina kabla hata sijauandika wimbo. Nilikuwa  nalo kama miezi miwili iliyopita ama zaidi ya hapo kama miezi minne hivi. Nilijua tu kuwa ni jina zuri la wimbo, niliuandika kwenye notice zangu na kisha kupata beat kutoka kwa [producer] Bink.

Nilianza kuusambaza kwenye mtandao na watu wakaupenda. MTV's Hip Hop POV waliuonesha kwenye TV na ikanionesha nguvu ya mitandao ya kijamii (Vulture)

Pia producer huyo ameufananisha wimbo huo na wimbo wa Kanye West,  "Through the Wire” uliomtoa pia.

"I wanted to give something personal and I would reference that video ["Through the Wire"]. Just showing it ["Jay-Z Interview"] to people in the last week or so, they automatically say that it reminds them of when they first saw or heard Kanye, so I can't escape that." 

Download hapa

No comments:

Post a Comment