Imedaiwa kuwa Beyonce "hajafurajia " na uhusiano kati ya Kanye West na Kim Kardashian.
Muimbaji huyo pamoja na na mume wake Jay-Z, ambao ni marafiki wakubwa wa Kanye kwa miaka mingi, wanasemekana kutopendezwa na chaguo la mpenzi la Kanye.
Beyonce na Jay wamedaiwa mpaka kukataa kuhudhuria birthday ya mchezaji kikapu wa timu ya New York Knicks Carmelo Anthony wiki iliyopita mpaka Kanye na Kim walipoondoka.
"Beyonce amekuzwa kikoloni kidogo tofauti na Kim, chanzo kimoja kimeuambia mtandao wa The Sun. "Bey hajawahi kufurahishwa na rekodi ya wanaume wa zamani wa Kim na mkanda wa video ya ngono iliyoleak miaka michache iliyopita.
Mambo yanaweza kuwa magumu kidogo kati ya Beyonce na Kim ambao wanatarajia kuunga tela la wapenzi wao Kanye na Jay-Z kwenye tour ya Ulaya ya 'Watch The Throne' mwezi ujao.
What’s wrong with the Jigga family?
Kumbuka pia mpaka leo Jay-Z ana hasira na Rihanna baada ya kuwa marafiki tena na Chris Brown!
No comments:
Post a Comment