Tuesday, June 12, 2012

Exclusive: Audio/Video, P-Square ft. Rick Ross




Jana remix ya video ya P-Square imesambaa kwenye internet. Hata hivyo kwa upande wa video iliyowekwa YouTube sasa hivi huwezi kuiona kwakua imeondolewa kutokana na masuala ya kisheria.


Kama umeenda kuiangalia YouTube basi bila shaka ulipoicheza ukakutana na maneno haya, "This video is no longer available due to a copyright claim by Iroko Partners Ltd.Sorry about that."



Hata hivyo video hiyo bado inapatikana kwenye website zingine za kuhifadhia video.
Kwanza kabisa kama kuipa mic basi sisi hii ngoma tumeipa tano kabisa.


Ukiisikiliza 'Beautiful Oyinye' unaweza ukaifananisha kidogo na 'No One Like You' hasa kwa jinsi drums zinavyopiga.


Mwanzoni Rick Ross anasikika akiwapa shavu mapacha hao 'P-Square' kisha akaipa shavu Konvict Music kabla ya ID yake maarufu ya 'Maybach Music' na ngoma inaanza kudunda.


Pengine pamoja na P-Square kuzikamua poa verse zao wengi walitaka wasikie Rick Ross atatambaa vp kwenye beat hiyo ya Kiafrika. Rick Rozay amethibitisha kuwa ni rapper anayebadilika muda wowote kutokana na mazingira na kwakweli karap poa sana.


Tunatabiri hii ngoma itafanya vizuri sana pengine usishangae kama ikiipita Chop my money!


Haya ni maoni ya wanaijeria na watu wengine duniani kuhusiana na ngoma/video hiyo: 




Imo Gaius · Rabat, Morocco
Ricky Ross The Boss Took Dis Joint To A Whole Nu Level......Rozzzzzaaaaaayyyyyyy!
Dj Natty Rankz · Ottawa University
that's wat am talkin bout, dope collabo..am diggin it all the way....it goin to ma rotation...
Habeeb Shittu · University of Leeds
Ricky murdered the track..thumbs up to psquare
Izeek Ceo ·  Top Commenter · Founder, CEO at FRe$h CloThE$
Rozay, always on point. And some say naija music hasn't excelled, abeg they should ask Akon, Snoop Dog, Rozay, and many others. btw, this twin brothers wan chop everywhere? lovely p square tune +Rozay's killer flow = solid entertainment....C E O.
James Isaac · East Ukraine Volodymyr Dahl National University
Rozzayyy, P square takin over,,, me love ehhhh.


Roman Osas Musician katika Kennis Records
RICK ROSS DID IT IN A WAY NIGERIA WILL UNDERSTAND, SIMPLE LYRICS THAT WE CAN RELATE TO, THUMBS UP TO P SQUARE IF U FEELING THIS.
SIR WILLIAMS VENTURES
pow pow pow pow powwwwwwwwww Ricky Rossey killing it fi mi.
Osahon Osaghae · Corona Secondary School
rick ross murdered it..........layed it on the beat appropriately........we talking money, u talking nonsense!
John B Olaoye · 
this is dope and trust me P SQUARE major in producing euphonic tunes, BUT to the BEST on my knowledge, I think M.I his the best MATCH with AMERICAN rappers. ain't hating on nobody though.


Isikilize ama kudownload hapa:

No comments:

Post a Comment