Rapper na muimbaji Nicki Minaj jana (May 15) aliwasili mjini Sydey Australia akisindikizwa na mpenzi na meneja wake Safaree. Mashabiki walimpokea kwa wingi na kupiga picha naye huku wengine wakishindwa kujizuia kulia.
![]() | ||||||
| Machozi ya furaha |
![]() | ||
| Mashabiki wa kila aina mpaka watu wazima |
![]() |
| Angalia usianguke mama |
![]() | ||
| Hapo hapo |
![]() |
| Kama kawaida Safaree hakosi |






No comments:
Post a Comment