Juzi usiku Monica aliwasurprise wahudhuriaji wa show yake baada ya kuwapandisha watoto wake wawili wa kiume kwenye stage.
Mwimbaji huyo wa 'It All Belongs To Me' alikuwa katikati ya show huko James L. Knight Centre mjini Miami, ambako alikuwa anapromote albam yake mpya ya New Life.
Ndipo alipowapandisha watoto wake Ramone na Romello on stage, na kuwapa kipaza sauti ili wawasalimie mashabiki.
Monica alipewa shavu kwenye show hiyo na binamu yake Ludacris ambaye alionekana backstage.



No comments:
Post a Comment