Tuesday, May 15, 2012

Goldie, mwakilishi wa Nigeria BBA 7 aachia video mpya

















Big Brother Africa ya mwaka huu ni ya aina yake. Kukiwa na mastaa saba mjengoni kuna kila aina ya drama.

Tuachane na drama ya Prezzo na Barbz tuangalie hii nyingine.

Goldie Harvey mwakilishi kutoka Nigeria amekuja na trick yake kujipatia umaarufu barani kote kwa kuachia video mpya akiwa mjengoni.

Sio kosa kufanya hivyo lakini njia hii itamsaidia kumtambulisha kwa watu ambao walikuwa hawamjui kabla ya kutajwa kuwa mwakilishi wa Nigeria katika BBA.  

Video hii itapigwa sana Channel 0 ambayo watazamaji wengi hutazama pia Big Brother.
Ichek video.

No comments:

Post a Comment