Saturday, July 7, 2012

Video: Billionnare Alki David aonesha cheque za pambano la Breezy na Drake



Kwa muda mrefu tangu hii story ya Billionnare Alki David na promoter wa ndondi Damon Feldman kutoa ofa ya milioni kumi kwa ajili ya pambano la ngumi kati ya Drake na Chris Brown, tulidhania ni maneno tu. Kumbe ni kweli bwana!

Angalia video hii uone jinsi hii kitu ilivyo serious.
Chris Brown na Drake wazichape tu!  Kama Wema Sepetu na Jackline Wolper wameweza iweje wao?

No comments:

Post a Comment