Tuesday, July 24, 2012

Jinsi wafaransa walivyomshangaa Rihanna


Rihanna yupo nchini Ufaransa ambako ameenda kupumzika na kula bata. Akiwa huko wananchi wa Ufaransa walikuwa wakimfuata  nyuma kama watoto wa kijijini wamwonapo mzungu kwa mara ya kwanza.

Alikuwa na shoga yake Mellisa

No comments:

Post a Comment