Saturday, July 7, 2012

Picha: Wema akimkimbia Jackline ulingoni!


Wanasema pambano la Wema Sepetu na Jackline Wolper ni 50/50 lakini hii picha mbona Wema anamkimbia Jackline? Hebu mwangalie vizuri Wema usoni! ni kama vile alikuwa anasema 'mamaaaa'


Funny though! Big up to these sexy girls kwa kuonesha ujasiri.


Picha zingine:


'Niachie' (Pic credit: Kingkif)

No comments:

Post a Comment