Tuesday, July 24, 2012

Picha ya siku: Dianna Agron,damn she is hot!

\

Anaitwa Dianna Elise Agron (April 30, 1986) ni muigizaji filamu wa Marekani. Pia ni muimbaji na dancer. Kwa sasa anaigiza kama Quinn Fabray kwenye series ya Glee ya FOX TV. Ni maarufu sana kwenye filamu ya I Am Number Four.

No comments:

Post a Comment