Sunday, July 29, 2012

Olimpiki: Kidunda 'adundwa' na Mmoldova



Mwakilishi mmoja wapo kutoka Tanzania bondia Seleman Kidunda leo jumapili, amezichapa na bondia wa jamhuri ya Moldova, Vasilii Belous.

Pambano hilo ni la uzito wa kilo 69 na limepigwa saa 11 jioni hii kwa saa za Afrika Mashariki.

Kwa mujibu wa matokeo, Kidunda ameshindwa kwa pointi nyingi mbali na bondia huyo.

No comments:

Post a Comment