Saturday, July 21, 2012

New Video: Hussein Machozi - Addicted

Hussein Rashid well known as Hussein Machozi Ame release video yake mpya ya wimbo alioutoa wiki chache zilizopita unaoitwa Addicted. Video imefanywa na kampuni ya Ogopa ya nchini Kenya ambako Machozi anaonekana kukubalika zaidi ya anavyokubalika hapa bongo. Well, It is simple but good video kwa kuangalia vitu kama location, story na wahusika waliomo kwenye video. 

Kama wewe ni true fan wa Hussein najua utakua unafuatilia kazi zake zote, kama unaweza kuvuta kumbukumbu ya video ya hit song yake ya "Kwa Ajili Yako" unaweza kugundua kuwa huyu video model ambaye ameonekana kwenye video hii mpya "Addicted" ndio yule alieonekana katika Kwa Ajili yako. Mwanzo ilikuwa kwa ajili yake, and now uko addicted kwake, Hussein is there something special with her that we don't know? She is pretty tho, she deserves it. Nice Video Hussein

No comments:

Post a Comment