Kundi la akinadada wa Uingereza la The Spice Girls linadaiwa kurejea tena kwenye game litakapotumbuiza kwenye sherehe za kufungwa kwa michuano ya Olympic.
Taarifa hiyo imetolewa na Victoria Beckham kwenye interview.
Kundi hilo linaloundwa na Victoria Beckham, Geri Halliwell, Emma Bunton, Melanie Brown na Melanie Chisholm.
Akinadada hao ambao hawajawa pamoja tangu mwaka 2008, wataungana na George Michael, The Who, Take That, Emeli Sandena Jessie J kwenye utumbuizaji huo August 12.
Wamekubaliana kuimba wimbo wao wa mwaka 1996, 'Wannabe' miongoni mwa nyimbo mbili.
No comments:
Post a Comment