Monday, July 23, 2012

Mkenya ala shavu kwenye reality show ya T.I.



Model wa Kenya aishie Marekani Jared Okeyo amekula shavu la kuonekana kwenye reality show ya T.I  iitwayo T.I & Tiny Show: The Family Hustle, inayooneshwa kwenye kituo cha VH1.


Pamoja na show hiyo Jared ameonekana pia kwenye show nyingine ya Real Housewives of Atlanta kupitia Bravo TV.


No comments:

Post a Comment