August 26, P-Square watakuwa na show nchini Uingereza na katika kuiongezea mashamsham zaidi wameanda shindano liitwalo "Mimic P Square and Rick Ross Competition"
Katika shindano hilo mashabiki wa uingereza watatakiwa kutengeneza video zao fupi wakiwaaigiliza wao na Rick Ross kwenye wimbo wa Beautiful Onyinye.
Washindi watajipatia zawadi mbalimbali zikiwemo ipad na simu za blackberry na watatangazwa siku ya show.
“After making your video,share the link on www.facebook.com/itsiroking and RT to @itsiroking,” waliandika.
Waangalie wanavyotoa maelezo na jinsi walivyotoa mfano wa wanachotaka kifanywe na mashabiki. Very funny, enjoy!

No comments:
Post a Comment