Okay, tunajua ni utani tu lakini Nikki Mbishi aka Baba Malcom ameandika hivi kwenye Facebook:
“Fareed Kubanda amesema "SIHITAJI MARAFIKI" kwa hiyo mi nam-block leo rasmi na natangaza kuwa atabaki kuwa kaka angu wa hiyari tu na si rafiki yangu teeeeeeena!!”
Kama ulikuwa hujui ni kwamba Fid ni miongoni mwa wasanii wachache mno Tanzania wanaofanya hip hop ambao Mbishi anawakubali.
Uzuri ni kuwa hata Fid pia anamkubali sana Nikki. Real recognize real! So it’s a mutual respect!
Leo, Juy 8, Fid atakuwepo Mtwara kwenye ‘Wajanja Tou’ ya Vodacom.

No comments:
Post a Comment