New Music: Peter Msechu ft. G-Nako – Naogopa Kupenda
Wanasema scratch my back and I will scratch yours. Ndicho kilichotokea kwa Peter Msechu na mweusi G Nako. G alimshirikisha Msechu kwenye BADO NGWAREEE na sasa imekuwa vice versa. Sikiliza na kushusha ngoma hii.
No comments:
Post a Comment