Baada ya kukaa nchini Kenya kwa muda mrefu hatimaye Rehema Chalamila aka ‘Kiuno bila mfupa, anatarajia kurudi nchini.
Taarifa hiyo imeandikwa na Sintah kwenye website yake ambaye tunahisi wamewasiliana.
“Jamani Rehema anarudi na this time kiuno kitazungushwa kama feni ya nyumba ya kulala wageni chezeya yeye weweeee,hebu njoo shoga yangu ukonge nyoyo zetu,tulikumiss sana love, natamani ukifika tuu Airport unimbie ule wimbo nataka niwe na wewe milele,” , ameandika Sintah.
Hope habari hizo ni za kweli maana Sintah naye ana mambo mengi kama serikali.
No comments:
Post a Comment