Agnes |
Baada ya kuwepo taarifa kuwa Agnes wa Masogange alimshutumu Sintah kwa kusambaza video yake ya ngono, imebainika kuwa Aggy amemuomba msamaha na sasa ni amani tu!
Taarifa hiyo imethibitishwa na Sintah kwenye website yake ambaye ameandika:
Sipendi uchonganishi jamani?? huyu dada alishaniomba msamaha na mimi na yeye tunaongea vizuri,,kama mtu anawashwa na yake kupitia funny blogs tafuteni la kuandika.
Wale mliokuwa mnaniongelea kwa Agnes kaniambia yote nawaangalia tu, mimi simjui Agnes ila nikiona mtu kafanya makosa namsahihisha ndo mana alikuja kuniomba msamaha na sina kinyongo naye nimemsamehe sasa maneno mengine mnayatoa wapi? kama mtu ana picha zangu za ngono zitoeni jamani kwanini mnanitishia??haaaaa nimeshatoka huko kitambooo sana lolest,,labda mtengeneze na za kutengeneza tunazijua hivihivi mtasubiri sana tena sana ninajiamini 100%Agnes alinieleza mkanda mzima wa yaliyomtokea na nikaona wasichana wanadhalilishwa sana kutkana na pombe.
Sintah |
Jamani yale maisha ya twendeni tukanywe mbona yamepita? so msiendelezee maneno yenu ya ajabu mimi na Agnes tunaongea tena siku ile ile ndo maana nilifuta posts na nimemsema sana nadhani ameanza kunisikiliza na akinisikiliza atafika mbali maana ni binti mzuri so mnaopenda watu wagombane poyeeeeeee,, mmeshushukaje??tafuteni mwingine kwangu ni fulllll stooooooop.
Agnes nakwambia hapa mbele ya watu huna marafiki ni wanafiki wao ndio wamenitumia video kwa mda wako uje nikuonyeshe waumbuke na munch status zako zote walituma
ONYO KWA MADADA
UWE NA HUBBY WAKO US SIJUI UK NA NCHI NYINGINE USIPIGE PICHA ZA UCHI UKAMTUMIA WANAUME SI WATU NA KWANZA SIKU HIZI MAISHA YA KUAMINIANA YAPO WAPI?
No comments:
Post a Comment