Tuesday, August 21, 2012

Nancy Sumari aanzisha website kwaajili ya mama

Nancy akiwa na mwanae Zuri

Miss Tanzania mwaka 2005 Nancy Sumari ameanzisha website iitwayo www.mamazuri.com aliyoianzisha kutokana na kufurahia maisha kama mama.
Zuri
“Idea hii niliipata baada ya kumpata Zuri, cause ninaenjoy sana maisha ya Umama na mtoto wangu anavyokua nazidi kujifunza vitu vingi zaidi,” ameaimbia Leotainment.

Zuri michezoni
“So i have decided kuanzisha a mommy blog ambapo nitakua nashare experience zangu na Mama wengine pamoja na kuwashirikisha wazazi kushare experience zao na watoto hao, pia na vingine vingi kama Mommy Fashion, Baby Fashion, Good Schools, Nutrition na vinginevyo, to be able to share and learn from others as well.”

Nancy anafurahia maisha kama mama

Kila lakheri Nancy.

No comments:

Post a Comment