Bingwa wa ndondi nchini Marekani Floyd Mayweather ni mtu huru sasa hivi baada ya kuachiwa kutoka jela ya Las Vegas leo.
Mayweather aka Money alikuwa anatumikia kifungo cha miezi mitatu kwa kumshambuliwa mke wake.
Kutokana na kuonesha tabia njema gerezani bondia huyo ameachiwa mwezi mmoja kabla.
Boxer huyo alifuatwa na washkaji kibao kwenye gereza la ‘Clark County Detention Center’ akiwemo 50 Cent.
Binti yake mwenye miaka 12, Iyanna Mayweather na meneja wake Leonard Ellerbe naye alikuwepo.
No comments:
Post a Comment